Rais Magufuli Asali Ibada Ya Jumapili Katika Kanisa Katoliki MT. Petro
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo ameshiriki Sakramenti Takatifu katika Ibada ya jumapili iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
Comments are closed.