The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara

0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali. Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
1. Katibu Mkuu Kiongozi– Balozi Ombeni Sefue

2. Katibu Mkuu Ikulu-Peter Ilomo

3. Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Katibu Mkuu- Dkt. Laurian Ndumbaro

4. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Katibu Mkuu – Mhandisi Mussa Iyombe
Naibu Katibu Mkuu Afya – Dkt. Deo Mtasiwa
Naibu Katibu Mkuu Elimu – Bernard Makali

5. Ofisi ya Makamu wa Rais
Katibu Mkuu – Mbaraka A. Wakili
Naibu Katibu Mkuu – Mhandisi Ngosi Mwihava

6. Ofisi ya Waziri Mkuu – Bunge, Sera, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Katibu Mkuu Kazi na Ajira – Erick Shitindi
Katibu Mkuu Bunge – Mussa Uledi
Katibu Mkuu Sera – Dkt. Hamis Mwinyimvua

7. Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Katibu Mkuu Kilimo – Dkt. Frolence Turuka
Katibu Mkuu Mifugo – Dkt. Mashingo
Katibu Mkuu Uvuvi – Dkt. Budeba

8. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Katibu Mkuu – Ujenzi – Mhandisi Joseph. Nyamuhanga
Katibu Mkuu – Uchukuzi – Dkt. Leonard M. Chamuliho
Katibu Mkuu – Mawasiliano – Prof. Faustine R. Kamuzora
Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano – Mary Sassabo

9. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Katibu Mkuu – Dkt. Yamungu Kayandabira
Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Moses Kusiluka

10. Wizara ya Maliasili na Utalii
Katibu Mkuu – Meja Jenerali Gaudence S. Milanzi
Naibu Katibu Mkuu – Anjelina Madete

11. Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Katibu Mkuu Viwanda – Dkt. Adelhem James Meru
Katibu Mkuu Biashara na Uwekezaji – Profesa Adolf F. Mkenda
Naibu Katibu Mkuu – Mhandisi Joel Malongo

12. Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi
Katibu Mkuu – Maimuna Tarishi
Naibu Katibu Mkuu – Prof. Simon S. Msanjila
Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Leonard Akwilapo

13. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Katibu Mkuu Afya – Dkt. Mpoki Ulisubisya
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto – Sihaba Nkinga

14. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Katibu Mkuu – Prof. Elisante Ole Gabriel Mollel
Naibu Katibu Mkuu – Nuru Halfan Mrisho

15. Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Katibu Mkuu – Mhandisi Mbogo Futakamba
Naibu Katibu Mkuu – Mhandisi Kalobero Emmanuel

16. Wizara ya Nishati na Madini
Katibu Mkuu – Profesa Justus W. Ntalikwa
Profesa James Epifani Mdoe (Naibu Katibu Mkuu)
Dkt. Paulina Pallangyo (Naibu Katibu Mkuu)

17. Wizara ya Katiba na Sheria
Katibu Mkuu – Prof. Sifuni Mchome
Naibu Katibu Mkuu – Suzan Paul Mlawi
Naibu Katibu Mkuu – Amon Mpanju

18. Wizara ya Mambo ya Ndani
Katibu Mkuu – Jaji Meja Jenerali Projest A. Rwegasira
Naibu Katibu Mkuu – Balozi Hassan Simba Yahaya

19. Wizara ya Fedha na Mipango
Katibu Mkuu – Dkt. Silvacius Likwelile
Naibu Katibu Mkuu – Dorothy Mwanyika
Naibu Katibu Mkuu – James Dotto
Naibu Katibu Mkuu – Amina Hamis Shaban

20. Wizara ya Mambo ya Nje, Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa
Katibu Mkuu – Dkt. Aziz Mlima
Naibu Katibu Mkuu – Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi

21. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Katibu Mkuu – Job D. Masima
Naibu Katibu Mkuu – Immaculate Peter Ngwale

Makatibu wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao hawajatajwa katika orodha hii watapangiwa kazi nyingine.

Katika hatua nyingine Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Eliakimu Maswi kuwa Kaimu Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na ametengua uteuzi wa Naibu Kamishina wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Lusekelo Mwaseba, ambaye atapangiwa kazi nyingine

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
30 Desemba, 2015

Leave A Reply