The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Atoa Maagizo Kufuatia Ajali Ya Kigoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 10 baada ya basi walilokuwa wanasafiria kugonga Treni ya mizigo Mkoani Kigoma huku akitoa maagizo kwa wadau wa usalama kuwachukulia hatua madhubuti kuzuia ajali hizo.

Comments are closed.