The House of Favourite Newspapers

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA KAMISHNA JENERALI MAGEREZA, NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Phaustine Martin Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Phaustine Martin Kasike akipiga saluti mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Zoezi likiendelea.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Phaustine Martin Kasike akizungumza mara baada ya kuapishwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Phaustine Martin Kasike mara baada ya tukio la uapisho. 
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Balozi Joseph Edward Sokoine akila kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapishwa viongozi hao wawili Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

 

 

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Phaustine Martin Kasike ( watatu kutoka kulia),Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Balozi Joseph Edward Sokoine(watatu kutoka kushoto) Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wapili kutoka kulia, viongozi wengine wa Serikali pamoja na Maafisa mbalimbali kutoka Jeshi la Magereza nchini. PICHA NA IKULU

Comments are closed.