The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Awasili Dar Baada ya Kuhitimisha Ziara ya Kikazi Kilimanjaro

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiswasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 2, 2017 akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli  baada ya kuwasili Uwanja wa ndege.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na wakuu wa Wilaya wa Dar es salaam baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo.
Rais Magufuli akilakiwa na wakuu wa Wilaya wa Dar es salaam na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya mkoa huo Kamishna Simon Sirro.
Leave A Reply