The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Awatembelea Mapacha Walioungana Muhimbili (Video + Pichaz)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. John Pombe Magufuli, akiwajulia hali watoto wawili Mapacha walioungana Maria na Consolata ambao wamelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya Matibabu.
Rais Magufuli akisali pamoja na watoto wawili Mapacha walioungana Maria na Consolata ambao wamelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)kwa ajili ya Matibabu.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amewatembelea watoto wawili Mapacha walioungana Maria na Consolata ambao wamelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya Matibabu.

Comments are closed.