The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli, Kikwete Waaga Mwili wa Mama wa Mbunge Vicky Kamata

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mama Paulina Kasama Selemani ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu wa Geita, Vicky Kamata na pia ni dada wa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo kwenye misa ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Machi 18, 2019

 

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu.

 

Rais Magufuli na Kikwete wakitoa sadaka wakati walipoungana na familia ya marehemu.

 

Rais Magufuli akimpa pole Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Eng. Evarist Ndikilo.

 

Magufuli akimpa pole mwanafamilia.

 

Magufuli akimpa pole, Mbunge Vicky kamata.

 

Nyuso za huzuni kwa wanafamilia.

 

Waombolezaji wakiwa wny huzuni wakati wa kuaga mwili wa mpendwa wao.

Comments are closed.