The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli: Nataka Ukasafishe TAKUKURU, Kawaondoe Hawa!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya tukio la Uapisho lililofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo Sept. 12, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa TAKUKURU katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma .

 

Rais Magufuli akiwa katika picha na Diwani Athuman Msuya na Balozi mteule, Valentino Mlowola mara baada ya tukio la Uapisho leo Sept. 12, 2018.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dk John Kiang’u Jingu wa kwanza kulia, Balozi wa Tanzania nchini Uganda Dkt. Azizi Mlima na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa TAKUKURU, Diwani Athuman wakila Kiapo cha Uadilifu baada ya kuapishwa Ikulu ya Chamwino, Dodoma leo.

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu wa kwanza kulia, Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dkt. Azizi Mlima na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa TAKUKURU, Diwani Athuman wakitia saini hati ya Kiapo cha Uadilifu katika Ikulu ya Chamwino, Dodoma leo.

 

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa TAKUKURU, Diwani Athuman Msuya akizungumza mara baada ya kuapishwa na Rais Magufuli.

 

Comments are closed.