Rais wa Zamani wa Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi amelazwa tena kwenye Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) katika Hospitali ya Nairobi ikiwa ni wiki mbili tu tangu apate nafuu na kuondoka hospitali hiyo.
Madaktari wanaomuhudumia Mzee Moi wamesema kuwa, kiongozi huyo anasumbuliwa na matatizo ya kifua na shida ya kupumua.
Comments are closed.