Rais Mtarajiwa Emmerson Mnangagwa Awasili Zimbabwe
Rais mtarajiwa wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa leo amerudi Zimbabwe akitokea nchini Afrika Kusini.
Anatarajiwa kutoa hotuba yake katika makao makuu ya chama cha Zanu-PF mjini Harare. Kabla ya kuondoka Afrika Kusini alikutana na Jacob Zuma na kuogea pamoja.