The House of Favourite Newspapers

Rais Museveni Kutua Nchini Kesho

Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni atafanya ziara binafsi ya siku moja nchini Tanzania, kesho Julai 13, ambapo atamtembelea Rais Dk Magufuli kijijini kwake Mlimani, mkoani Geita. Akiwa Chato, Rais Museveni atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Dk Magufuli.

Comments are closed.