Rais Samia Aanza ziara ya Kikazi Morogoro, Azindua Hospitali ya Wilaya ya Gairo (Picha +Video)
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 2, 2024 ameanza ziara rasmi ya Kikazi Mkoani Morogoro hadi Agosti 6, 2024 akiwa mokoani humo amezindua Hospitali ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro.