The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Afanya Uteuzi Mamlaka ya Usafiri wa Anga

0

Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Mtumwa Khatib Ameir kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA). Bi. Mtumwa Khatib ni Afisa Mtendaji Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki Zanzibar.

Leave A Reply