The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Afanya uteuzi, uhamisho na utenguzi wa viongozi

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, uhamisho na utenguzi wa viongozi mbalimbali, soma taarifa kamili iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu.