Rais Samia Afanya Uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi NSSF, NIMR na Mkurugenzi GBT
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Yunus Daud Mgaya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana ya Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka.
Prof. Mgaya ni Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR).