The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Ahutubia Mkutano Wa Hadhara Wilaya Ya Meatu Mkoa Simiyu (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Meatu katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akihutubia Mkutano wa Hadhara Wilya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 17 Juni, 2025.

Shamrashamra za Wananchi wa Meatu waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika viwanja vya Stendi ya mabasi tarehe 17 Juni, 2025.