Rais Samia Ashiriki Sherehe Ya Kufunga Kozi Ya Maafisa Na Wakaguzi Wa Jeshi La Polisi (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.