The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz nchini Uswizi

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kansela wa Ujerumani,Olaf Scholz, Davos nchini Uswizi  Januari 18, 2023.

Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, Davos nchini Uswizi.

Rais Samia amekutana na Kansela Scholz katika mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani uliofanyika nchini Uswizi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz mara baada ya mazungumzo yao Davos nchini Uswizi.
Rais Samia  akiagana na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz mara baada ya mazungumzo yao.
Rais Samia  akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji ambaye pia ni Mwazilishi wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) Profesa Klaus Schwab Mjini Davos nchini Uswizi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji ambaye pia ni Mwazilishi wa Jukwaa la Uchumi Duniani Profesa Klaus Schwab mara baada ya mazungumzo Mjini Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023

PART 2: SALMA MUUZA BIRIANI AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA ALIVYOLAZWA JUU ya KABURI USIKU, KIPIGO KIZITO

 

 

Leave A Reply