The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Rais Wa Saharawi Brahim Ghali

0
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya Picha ya Mlima Kilimanjaro Rais wa Saharawi Mhe. Brahim Ghali 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Picha ya ramani ya Bara la Afrika kutoka kwa Rais wa Saharawi Mhe. Brahim Ghali mara baada ya mazungumzo yao katika Ofisi za ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)  Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Saharawi Mhe. Brahim Ghali mara baada ya Kikao cha Chama kilichofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma
Leave A Reply