The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Alivyoongoza maziko ya Hayati Cleopa David Msuya Usangi Wilayani Mwanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Mei 13,  2025 ameongoza Watanzania kwenye maziko ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya yaliyofanyika nyumbani kwake kijijini Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro.