Rais Samia Alivyopiga Picha na Wakuu wa Nchi mbalimbali na Viongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakuu wa Nchi mbalimbali na Viongozi wengine wakishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala Nishati katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari, 2025.