Rais Samia Alivyozungumza Na Wenza Wa Marais
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Wenza wa Wakuu wa nchi mbalimbali Barani Afrika kabla ya kufungua Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary katika hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Oktoba, 2024.