Video: Rais Samia Ampokea Rais Wa Shirikisho La Ujerumani Dkt. Frank Walter Steinmeier
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Dkt. Frank Walter Steinmeier,Rais wa Shirikisho la Ujerumani katika Ukumbi wa Jakaya Kiwete Ikulu – Dar es Salaam leo tarehe 31 Oktoba, 2023