The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Ampokea Rais wa Jamhuri ya Poland Ikulu jijini Dar (Picha +Video)

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempokea rasmi Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 09 Februari, 2024

Rais Samiaakiwa na mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu.
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Poland, Andrzej Duda wakati wa Wimbo wa Taifa.
Rais wa Poland, Andrzej Duda akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar.
Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda.
Rais Samia  akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda.

Rais Samia  akiwa na Mgeni wake Rais wa Poland, Andrzej Duda wakati wakielekea kwenye mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.


 

 

Leave A Reply