Rais Samia Amteua Thobias Makoba kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Afanya Uteuzi Viongozi Mbalimbali – Video
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Thobias Makoba kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari –
Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali
Kabla ya Uteuzi, Makoba alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Msajili wa Hazina
Makoba anachukua nafasi ya Mobhare Matinyi ambaye amepangiwa majukumu mengine