Rais Samia Amuapisha Said Mohamed Mtanda Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuapisha Said Mohamed Mtanda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei, 2023.