Rais Samia Amuinua Mbunge Bwege – “Alikuwa Na Kelele Nyingi, Shemeji Yangu, Inashangaza Kidogo”- Video
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Septemba 19, 2023 mkoani Lindi amemsimamisha aliyekuwa Mbunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Bwege kumpatia salamu kwani ni mmoja kati ya waliohudhuria katika mkutano huo.