Rais Samia Aombewa Sala Maalum na Mwamposa Baada ya Kufungua Kanisa la Arise and Shine – (Picha +Video)

Kawe, Dar es Salaam – Julai 5, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameombewa sala maalum na Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa mara baada ya kufungua rasmi Kanisa la Arise and Shine lililopo Kawe, Jijini Dar es Salaam.