The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino, Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 24 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri.