June 21, 2022 by Global Publishers
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, kilichokutana leo, Ikulu Chamwino Dodoma.
Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?