Rais Samia Aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Chamwino Jijini Dodoma.
Mkutano huu ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika siku ya Kesho tarehe 18 na 19 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.