The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Apokea Gawio Na Michango Kutoka Kwa Taasisi Na Mashirika Ya Umma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali kwenye hafla ya kupokea Gawio la Serikali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa Mashirika ya umma na Taasisi mbalimbali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki hafla ya kupokea Gawio na michango kutoka kwa Tasisi na Mashirika ya Umma Ikulu Dar es salaam, leo tarehe 10 Juni, 2025.