The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Apokea Taarifa Ya Haki Jinai Ikulu Chamwino, Dodoma

Rais Samia akiwa kwenye hafla ya kupokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 15, 2024 amepokea Taarifa ya Haki Jinai Ikulu Chamwilno Mkoni Dodoma .

Rais Samia akipokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Ombeni Sefue.
Rais Samia akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali mara baada ya kupokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2024