Rais Samia Ashiriki Sherehe Za Kamisheni Na Mahafali Kwa Maafisa Wanafunzi Monduli, Arusha (Picha + Video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Sherehe za Kamisheni na Mahafali kwa Maafisa Wanafunzi kundi la 05/7-BMS na Kundi la 71/23-Regular katika Chuo cha Jeshi la Ulinzi Monduli Mkoani Arusha, leo tarehe 28 Novemba, 2024.