The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Ateua Na Kuhamisha Wakurugenzi 184 Na Makatibu Tawala 139 Wa Wilaya

0

Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa Rais amefanya mabadiliko hayo ambapo kati ya waliotajwa ni pamoja na Ruth John Magufuli anayekuwa Katibu Tawala Wilaya ya Morogoro na Fatima Said Kubenea ambaye anakuwa Katibu Tawala Wilaya ya Masasi

Wengine ni Pendo Daniel Ndumbaro atakayekuwa Katibu Tawala Wilaya ya Mbinga na Geofrey Mosses Nnauye anayekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Newala

Wakurugenzi wengine wa Halmashauri walioteuliwa ni Justice Lawrance Kijazi (Ikungi), Nuru Waziri Kindamba (Ileje), Zahara M. Michuzi (Geita), Omary A. Nkullo (Kongwa), na Abdul O. Mtaka (Rorya)

Makatibu Tawala wa Wilaya ni Hassan M. Mkwawa (Ubungo), Maulid Abdallah Mtulia (Kakonko), James G. Mkumbo (Uvinza), Rahma O. Kondo (Longido), Pendo. A. Mahalu (Kigamboni) na Neema F. Mfugale (Uyui)

Leave A Reply