Rais Samia Atunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi shahada ya Kijeshi (Picha +Video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan ametunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi Kundi la 04/20-shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 (Regular) kwa Cheo cha Luteni Usu.
Sherehe hizo zimefanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy – TMA) Mkoani Arusha leo Novemba 18, 2023.
PICHA NA IKULU