The House of Favourite Newspapers
gunners X

Rais Samia Aweka jiwe la msingi la upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Tanga – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini tarehe 26 Februari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Februari, 2025 ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini.

Rais Dkt. Samia akizungumza viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa dini ya Kiislam mara baada ya kuweka jiwe la msingi upanuzi wa Msikiti.
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir akizungumza viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa dini ya Kiislam mara baada ya Rais Samia kuweka jiwe la msingi upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini tarehe 26 Februari, 2025.

Comments are closed.