Rais Samia Azindua Kitabu Cha Edward Moringe Sokoine JNICC-Dar (Picha +Video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan leo Septemba 30, 2024 amezindua Kitabu cha Edward Moringe Sokoine (Maisha na Uongozi Wake) kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam.