Rais Samia Azindua kwa Mara ya Pili Filamu ya The Royal Tour Jijini Los Angeles
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uzinduzi mwingine wa awamu ya pili wa filamu ya The Royal Tour uliofanyika Jijini Los Angeles Marekani ambapo uzinduzi huo umehudhuriwa na watu wengi wakiwemo watanzania wanaoishi nchini humo.