The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Azindua Miradi Ya Maendeleo Mkoani Mtwara – (Picha +Video)

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua miradi ya maendeleo mkoani Mtwara leo tarehe 15 Septemba, 2023

Rais Samia akimsikiliza Msanifu Majengo kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi Saul Nkini kuhusiana na hatua mbalimbali za Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.
Rais Samia akizungumza jambo na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu mara baada ya kuzindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini.
Rais Samia akipanda mti kama ishara ya kumbukumbu mara baada ya kuzindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara.
Rais  Samia Suluhu Hassan akipanda mti kama ishara ya kumbukumbu mara baada ya kuzindua Hospitali ya Rufaa.

Leave A Reply