The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Azungumza na Wamachinga Ikulu Dar – Video

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Wamachinga kutoka Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 25 Januari, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Viongozi wa wamachinga leo Januari, 25 2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply