The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Azungumza na Wananchi wa Pugu Akielekea Dodoma kwa Usafiri wa SGR

0


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Pugu Jijini Dare es Salaam wakati akielekea Dodoma kwa Usafiri wa Treni ya Kisasa ya (SGR). Mhe. Rais Dkt. Samia amezindua Rasmi huduma za Usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) kuanzia eneo la Kilometa 0 Stesheni Jijini Dar es Salaam- Morogoro hadi Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024.
Shamrashamra za wananchi wa Pugu Jijini Dar es Salaam Mara baada ya RaisSamia Suluhu Hassan kuwasili Stesheni hapo kwa usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) tarehe 01 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Akizindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo tarehe 1 Agosti, 2024. 

RAIS SAMIA AKIHUTUBIA AKIWA DODOMA BAADA ya KUSHUKA KWENYE TRENI YA UMEME…

Leave A Reply