The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Kuongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Kesho

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais Samia Suluhu Hassan.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitakuwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kitakachofanyika Machi 10, 2025 Jijini Dodoma.
Kikao hicho cha NEC kitatanguliwa na kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kitakachofanyika mapema Machi 10, 2025.
Vikao vyote hivyo vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Samia Suluhu Hassan.