Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho November 10, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo Misri kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu, ziara hiyo ya Kiserikali inafuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo Abdel Fatah Al Sisi.