The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe Ya Miaka 50 Ya Uhuru Wa Umoja Wa Visiwa Vya Comoro – Picha + Video


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Comoro kwenye Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo zilizofanyika katika uwanja wa Malouzini Jijini Moroni tarehe 06 Julai, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Madhimisho ya sherehe za Miaka 50 ya Uhuru wa Umoja wa Visiwa vya Comoro, leo tarehe 06 Julai, 2025.

Rais ahudhuria Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Comoro leo tarehe 06 Julai, 2025. Mhe. Rais Dkt. Samia amealikwa na Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe hizo.