Rais Samia na Wasaidizi wake wafuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali 2024/25
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wasaidizi wake wakati akifuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2024/25 kwa njia ya runinga nyumbani kwake Chamwino Mkoani Dodoma. Hotuba hiyo ilikuwa ikisomwa bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba tarehe 13 Juni, 2024.