The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Azindua Mradi Wa Maji Same, Mwanga, Korongwe -(Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Amezindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe, leo tarehe 09 Machi, 2025.

Rais Samia akikagua moja ya sehemu ya kuchuja maji ya mradi wa Same-Mwanga-Korogwe mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025.