Rais wa China Xi Jinping Ambatana na Rais Samia katika ukumbi kwa ajili ya kushiriki hafla ya chakula cha jioni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping aliyeambatana na Mkewe Profesa Peng Liyuan mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The Great Hall of the People kwa ajili ya kushiriki hafla ya chakula cha jioni kwa Wakuu wa Nchi na Serikali watakaoshiriki Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) Jijini Beijing tarehe 04 Septemba, 2024.