The House of Favourite Newspapers

Rais wa Zamani wa Ufaransa Afariki kwa Corona

0

RAIS wa zamani wa Ufaransa, Valery Giscard, amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa virusi vya corona akiwa na umri miaka 94.

 

Giscard aliyekuwa akisumbuliwa na magonjwa mbalimbali na kulazwa mara kadhaa hivi karibuni, alifariki jana kwenye nyumba yake  mjini Loire, akiwa

amezungukwa kitandani na familia yake.

 

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Marcon ametoa salamu zake za pole huku akimtaja kiongozi huyo wa zamani wa taifa hilo kuwa katika miaka yake saba ya uongozi alifanikiwa kuibadilisha Ufaransa kwa kiasi kikubwa.

 

Giscard alikuwa rais wa taifa hilo tangu mwaka  1974 mpaka 1981.

Leave A Reply