The House of Favourite Newspapers

Rais Weah ‘Amkataa’ Cristiano Ronaldo

0

MCHEZAJI  wa zamani wa AC Milan ambaye sasa ni Rais wa Liberia, George Weah,  amesema mcheza soka aliye klabu ya Juventus ya Italia, Cristiano Ronaldo,  siyo mchezaji bora ulimwenguni, lakini anamchukulia Mreno huyo kama kioo kwa wachezaji wachanga.

 

“Namfananisha Ronaldo na Zlatan Ibrahimovic ambaye kwa sasa wachezaji chipukizi wengi wanajifunza kutoka kwake licha ya umri kumtupa mkono lakini bado anasakata kabumbu kwa kiwango kikubwa,“ amesema Weah.

 

Weah anaamini Ronaldo kutokana na kujituma kwake bado ataendelea kutikisa ulimwengu wa soka hata kama akifikisha umri wa miaka 40.

Leave A Reply